Kesi ya ‘Dk Manguruwe’, kusikilizwa kesho mchana

Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40), maarufu Dk Manguruwe, imekwama kuendelea kutokana na Jamhuri kutokamilisha kupandisha nyaraka mtandaoni. Mkondya na mwenzake, Rweyemamu John (59), ambaye ni Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 28 yakiweno ya kuendesha biashara ya upatu na…

Read More

Nactvet yahamasisha waliokosa vyuo kuomba tena

Dodoma. Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Nactvet) limewataka wanafunzi waliokosa sifa za kujiunga na vyuo kwa mwaka wa masomo 2025/2026, kuomba tena kulingana na kozi zenye sifa zao kabla dirisha la udahili halijafungwa, ifikapo Desemba 12, 2025. Wito huo umetolewa kufuatia asilimia mbili ya wanafunzi walioomba kujiunga na…

Read More