Maswa yajipanga kuokoa watoto njiti, yasambaza vifaa tiba

Maswa. Hospitali ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imeendelea kuboresha huduma kwa watoto njiti na wenye uzito pungufu, kwa kusambaza mashine maalumu za kuwahudumia watoto wachanga katika vituo kadhaa vya afya.  Lengo ni  kuhakikisha huduma hizo zinawafikia wananchi kwa urahisi. Vifaa vilivyosambazwa vinajumuisha mashine za kurekebisha joto la mwili wa mtoto mchanga pamoja na mashine za kutibu…

Read More

Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Zimekuja na Pesa

JE unajua kuwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia leo hii, zinakupa maokoto ya maana?. Bashiri sasa na Meridianbet ujiweke kwenye nafasi ya kuibuka bingwa kwani Odds za kibabe zipo hapa leo. Katika kundi A, kutakuwa na mechi kali kabisa kati ya Germany vs Slovakia ambapo hawa wote wana pointi sawa kwenye msimamo wa kundi…

Read More

Paa na Ushindi Mkubwa Ukiwa na Meridianbet

WAPENZI wa kasino mtandaoni, huu ndio wakati wako wa kung’aa. Mwezi huu, Meridianbet inakuletea ofa kabambe kupitia mchezo unaopendwa na wengi wa Aviator. Sasa paisha kindege cha Aviator na uwe miongoni mwa washindi wa simu 4 mpya aina ya Samsung A26 zinazotolewa mwezi huu wa Novemba. Ndiyo, unaweza kuwa mmoja wa wenye bahati watakaopaa kwenye…

Read More

Wiki ya SQF Zanzibar Marathon yaanza

TAASISI ya The Same Qualities Foundation (SQF), waandaaji wa SQF Zanzibar Marathon, imetangaza kuanza rasmi kambi ya upasuaji kwa watoto wenye ugonjwa wa midomo wazi (Sungura) hadi Desemba 19, 2025 kabla ya kilele cha mbio za kuelimisha umma kuhusu ugonjwa huo. Kambi hiyo imeanza Novemba 15, 2025 na inaendeshwa katika Hospitali ya Mkoa, Lumumba kisiwani hapa…

Read More

Dabi ya Kariakoo ya Desemba 13 yaota mbawa

Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baina ya Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ iliyokuwa ichezwe Desemba 13 mwaka huu, sasa itachezwa Machi Mosi, mwakani. Hiyo inafuatia maboresho ya ratiba ya Ligi Kuu yaliyotangazwa leo na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB). Kubadilishwa kwa ratiba ya mchezo huo, kunafanya mwezi…

Read More

Familia, marafiki wamlilia MC Pilipili

Dodoma. Vilio simanzi na majonzi vimetawala nyumbani kwa aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji wa shughuli mbalimbali nchini, marehemu Emmanuel Mathias (MC Pilipili) aliyefariki jana mchana jijini Dodoma. ‎Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu Mc Pilipili alikwenda jijini Dodoma kwa ajili ya kusherehesha harusi iliyokuwa ifanyike jana Jumapili Novemba 16,2025 lakini alikutwa na umauti na sababu za…

Read More

Hamza kumfuata Camara Morocco kwa matibabu

WAKATI kipa namba moja wa Simba, Moussa Camara akitarajiwa kufanyiwa upasuaji kesho Jumanne Novemba 18, 2025 huko Morocco, beki wa kati Abdulrazack Mohamed Hamza naye ametajwa kuwa mbioni kwenda nchini humo kwa ajili ya matibabu ya goti. Camara ambaye huu ni msimu wake wa pili akiwa na wekundu hao wa Msimbazi, aliondoka nchini jana Jumapili…

Read More