Pacome, Doumbia wamtikisa Kocha Mreno
KIKOSI cha Yanga kimeshavuka bahari ya Hindi na kutua visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mwisho ya kukabiliana na Far Rabat ya Morocco katika mechi ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha wa timu pinzani ameanza kuingiwa ubaridi mapema. …