Mapendekezo ya wadau ya kuondoa uzuiaji wa maiti hospitalini
Dar es Salaam. Wakati uzuiaji wa maiti hospitalini kutokana na gharama za matibabu ukiwa ni mfupa mgumu nchini, ili kutokomeza tatizo hilo, wadau wameishauri Serikali kuhakikisha inaweka mifumo sahihi na thabiti ya ugharamiaji wa afya. Wametaja bima ya afya, kuimarishwa kwa mfuko wa ustawi wa jamii, na Serikali kutenga fedha kama ruzuku za kulipia matibabu…