Aliyembaka mtoto wa kambo akwaa kisiki mahakamani

Arusha. Mahakama ya Rufaa iliyoketi Dodoma, imetupilia mbali ombi la John Ngonda, aliyehukumiwa kifungo cha maisha jela, aliyekuwa akiomba kuongezewa muda wa kuwasilisha maombi ya mapitio ya uamuzi wa awali wa Mahakama ya Rufaa. Ngonda alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Wilaya ya Kiteto baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto…

Read More

Mourice Sichone mambo magumu Zambia

MSHAMBULIAJI kinda wa Trident FC ya Zambia, Mourice Sichone amesema anataka kutafuta changamoto nje ya nchi hiyo baada ya kuitumikia ligi Daraja la Kwanza kwa takribani misimu miwili sasa. Kinda huyo (18) alisajiliwa dirisha dogo akitokea Mpulungu Harbour FC ya nchini humo akicheza mechi 12 na kufunga mabao manne na asisti tano. Akizungumza na Mwanaspoti…

Read More

George Mpole anasikilizia simu tu

NYOTA wa zamani wa Geita Gold na Pamba Jiji aliyewahi kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, George Mpole amezungumzia ukimya wa muda mrefu alionao kwa kufichua alikuwa akifanya majaribio na klabu ya Siwelele F.C iliyopo Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Mpole amesema majaribio hayo yalikuwa ya takriban wiki tatu wakati ligi ya nchi hiyo…

Read More

Kipigo Stars chamchefua Gamondi | Mwanaspoti

TAIFA Stars chini ya Kocha Miguel Gamondi, juzi usiku ilikumbana na kipigo cha mabao 4-3 kutoka kwa Kuwait, huku kikimchefua kocha huyo akiwatupia lawama wachezaji kwa kushindwa kulinda ushindi wa mabao 2-0 ya kipindi cha kwanza. Kaimu kocha mkuu huyo wa Stars, amesema amechukizwa na makosa ya kujirudia yaliyotokea juzi, Jumamosi, wakati akiiongoza timu hiyo…

Read More

Kitasa Kagera Sugar chapiga mkwara

BEKI wa kulia wa Kagera Sugar, Yusuph Iddy ‘Kiba’, amesema licha ya kucheza kwa mara ya kwanza na timu hiyo msimu huu, ila amefurahia mwanzo mzuri na ushirikiano anaoupata kutoka kwa wachezaji wenzake, jambo linalompa matumaini makubwa. Nyota huyo aliyejiunga na timu hiyo msimu huu akitokea Mbeya Kwanza inayoshiriki pia Ligi ya Championship, amesema moja…

Read More

Mmesikia huko? Kapera ameanza tizi Polisi Tanzania

MSHAMBULIAJI wa maafande wa Polisi Tanzania, Ramadhan Kapera ameanza mazoezi ya kujiweka fiti na kikosi hicho, baada ya kukosekana tangu msimu huu umeanza, kutokana na kusumbuliwa na jeraha la goti alilolipata kutokana na kupata ajali ya gari. Nyota huyo aliyewahi kuitumikia timu hiyo msimu wa 2020-2021, amerejea tena katika kikosi hicho msimu huu, baada ya…

Read More