Penzi la mitego linavyowaliza wanawake kiuchumi

Dar es Salaam. Hali ikiwa ya utulivu, kila mmoja akiendelea na lake ndani ya saluni ya kike iliyopo Mwenge, msichana mwenye umri wa miaka 26 anapaza sauti inayoashiria kukata tamaa. “Natafuta mganga mzuri ambaye anaweza kunisaidia… nina janga, sielewi nalitatua vipi.” Ni kauli iliyotoka kwa mtu aliyelemewa mzigo wa deni ndani ya kikundi cha kuweka…

Read More

Mradi wa Rostam wa gesi ya kupikia wapata kibali Kenya

Mombasa. Kampuni iliyoanzishwa na mfanyabiashara bilionea na mwekezaji wa viwanda kutoka Tanzania, Rostam Aziz, Taifa Gas Investments SEZ Ltd, imepata nafuu baada ya Mahakama ya Mazingira na Ardhi (ELC) nchini Kenya kutupilia mbali kesi iliyopinga ujenzi wa kiwanda chake cha gesi ya kupikia (LPG). Mradi huo wa kiwanda chenye thamani ya Dola 130 milioni za…

Read More

Wito wa Cop30 wa hatua – maswala ya ulimwengu

Katika kila meza ya mazungumzo na katika kila taarifa ya kidiplomasia iko ukweli ulioshirikiwa na mataifa kwenye safu za mbele za shida ya hali ya hewa: bila ufadhili, hakuna njia ya usalama, haki, au kuishi. Vitendo vingi vya haraka vinahitajika kupata sayari inayoweza kufikiwa na kulinda mamilioni ya maisha. Lakini wote – kila mafanikio, kila…

Read More

KONA YA MZAZI: Wajibu wa wazazi malezi ya kizazi cha Gen Z

Katika dunia ya leo yenye mabadiliko ya kasi, vijana wa kizazi kipya kinachojulikana kama Generation Z wanakabiliwa na changamoto nyingi za kimaisha, kijamii, kiteknolojia na kimaadili. Kizazi hiki ambacho kimekulia katika mazingira yanayotawaliwa na teknolojia, mitandao ya kijamii na utandawazi, kinaonekana kuwa na mtazamo tofauti kabisa kuhusu maisha, maadili na imani, ikilinganishwa na vizazi vilivyotangulia….

Read More

ONGEA NA BETTIE: Hapa kuna ndoa au ananihadaa?

Nina uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu na tulipanga mwishoni mwa mwaka huu nikatoe barua kwao na taratibu nyingine ili mapema mwakani tufunge ndoa. Ila nimepata taarifa ana mume na hajawahi kuniambia, si taarifa tu bali hadi picha wakiwa wanafunga ndoa kanisani nimeonyeshwa, ninashindwa kumuuliza atasema ninasikiliza maneno ya watu na ninampenda nahofia kumkosa iwapo…

Read More

Challe ana namba 8 wanane KenGold

KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe amesema licha ya mwenendo mzuri hadi sasa, ila anakabiliwa na changamoto kubwa ya kubadilisha wachezaji nafasi zao wanazocheza, kwa sababu kikosi hicho kina nyota wanane wanaocheza namba nane uwanjani. Akizungumza na Mwanaspoti, Challe amesema katika wachezaji wanaocheza namba nane, wapo wanane katika timu hiyo msimu huu, hivyo kazi anayoifanya…

Read More

TPHPA yaja na teknolojia kukabiliana na wadudu shambani

Mbeya. Wakati msimu wa kilimo kwa mwaka 2025/26 ukianza, Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Nyanda za Juu Kusini imekuja na teknolojia mpya na ya kisasa kukabiliana na magonjwa na wadudu waharibifu wa mazao ili kumsaidia mkulima kuvuna kwa tija. Teknolojia hiyo aina ya ‘Portable DNA Sequencing’ inayotajwa kuwa mwarobaini wa kukabiliana…

Read More

Epukana na ogopa uchoyo kwenye ndoa

Leo tutaongelea ubinafsi na uchoyo. Kwenye ndoa, sawa na kwenye maisha mengine, kuna wanandoa wabinafsi na wachoyo. Hii ni tabia chafu na mbaya sana. Japo, kwa asili yake, binadamu ni mbinafsi, na wakati mwingine mchoyo, si jambo jema na linapaswa kuepukwa kwa gharama yoyote. Ubinafsi na uchoyo ni tabia mbaya isipokuwa kwenye eneo moja tu…

Read More

Msaada mtoto aliyeshuhudia matukio yanayoumiza hisia

Ripoti ya mwaka 2017 iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ustawi wa Watoto (Unicef), ilibainisha kuwa mtoto anayeishi kwenye maeneo yenye matukio ya vurugu kama mapigano, milipuko ya mabomu au mauaji hupata madhara kadhaa ya kisaikolojia. Hata katika mazingira ambayo mtoto si mlengwa wa moja kwa moja na matukio hayo, ile kushuhudia damu,…

Read More