Chunga ‘x’ wako anapoamua kuramba matapishi yake
Katika ulimwengu wa uhusiano wa kimapenzi, si jambo geni kusikia au kushuhudia mwenza akiachana na mpenzi wake na kisha kurudi baada ya wiki, miezi au hata miaka. Lakini ni nini hasa humsukuma mwenza kurejea kwenye uhusiano aliouacha mwenyewe? Je, ni mapenzi ya dhati au ni mazoea tu yanayomrudisha? Mara nyingi, watu hugundua thamani ya kitu…