Yanga yapiga bao la mapema

YANGA imebakiza siku mbili tu za kulala jijini Dar es Salaam na baada ya hapo itatua Zanzibar tayari kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kukutana na FAR Rabat ya Morocco katika mchezo wa kwanza wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. …

Read More

Kuponya majeraha ya siri ya kuzaa – maswala ya ulimwengu

Kwa wanawake kama Farhiya mwenye umri wa miaka 38 kutoka Beletweyne vijijini, matokeo yanaweza kuwa mabaya-fistula chungu ya kuzuia, shimo kwenye mfereji wa kuzaliwa ambao ulimwacha achukuliwe, akitengwa, na kukatwa kutoka kwa jamii yake. “Nilisisitizwa, nilikuwa na wasiwasi kila wakati, na kutengwa na jamii yangu. Nilikuwa naishi ndani ya nyumba yangu kana kwamba nilikuwa na…

Read More

Kile kinachodharauliwa, Mungu hukitukuza | Mwananchi

Tumsifu Yesu kristu. Tunakusalimu kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Ninamtukuza Mungu kwa ajili yako kwa kuendelea kuachilia neema ya uhai kwako na kwa familia yako. Ni imani yangu kuwa unaendeleaa vizuri katika safari hii ya kuutafuta uso wa Mungu. Mungu akubariki sana. Tunakukaribisha kuungana nasi katika tafakari ya ujumbe wa leo…

Read More

JKT yatupwa nje CAFWCL | Mwanaspoti

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens wametupwa nje kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-1  na TP Mazembe. Mtanange huo  umepigwa kwenye Uwanja wa Suez Canal mjini Ismailia, Misri na kwenye kundi B JKT iliyomaliza nafasi ya tatu imeondolewa pamoja na Gaborone United iliyomaliza nafasi ya…

Read More

TASAC YAENDELEZA ELIMU KWA WAVUVI

Na Mwandishi Wetu, Geita Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeanzisha kampeni ya kutoa elimu ya usafiri salama wa majini katika Wilaya ya Chato mkoani Geita eneo ambalo limeendelea kuwa mfano wa kuigwa kwa kutokuripoti ajali za majini kwa muda mrefu. Akizungumza wakati wa utoaji wa elimu ya usafiri salama wa majini kwa Wavuvi…

Read More