Siku ya Kutusua na Meridianbet Hii Hapa
MICHUANO hii hapa ya kufuzu Kombe la Dunia inakupa nafasi kubwa ya kujinyakulia mshiko wa maana na Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi sasa na uibuke bingwa leo. Katika Kundi B, Switzerland ataumana vikali dhidi ya Sweeden ambapo mara ya mwisho kukutana, mwenyeji aliibuka na ushindi. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 pekee…