Wizara ya Vijana yaibua mjadala wa vijana, wadau

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiwa mbioni kuanzisha wizara maalumu ya vijana, wenyewe wamesema hatua hiyo inapaswa kuanza na kukusanya maoni yao, ili wapendekeze muundo utakaokidhi matarajio yao. Lakini, baadhi wanaona kabla ya kuanza na hatua ya kuunda wizara yao, kuna haja ya Serikali kutazama katika mifumo yake ya uwajibikaji, ili wizara hiyo isijikute ikiingia…

Read More

Vijana watahadharishwa kufuata mkumbo, watakiwa kulinda amani

Dodoma. Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa msamaha kwa vijana waliokamatwa kwenye maandamano yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na kuwataka vijana nchini kuachana na masuala yanayohatarisha amani ya Taifa kwenye mitandao ya kijamii. Aidha jumuiya hiyo imewaomba vijana kuacha kufuata mkumbo wa kila kitu kinachoendelea kwenye mitandao ya…

Read More

Mfaransa wa Azam aponzwa na kibali Angola

MAMBO si mazuri kwa kocha wa zamani Azam FC, Bruno Ferry baada ya kuondolewa nchini Angola kwa hati ya dharura kutokana na kukosa kibali cha kuishi. Bruno ambaye msimu uliopita alikuwa kocha msaidizi wa Azam, baadaye alitimkia Wiliete ya Angola ambako alikuwa akipiga mzigo akiwa kocha mkuu na kuiwezesha kutinga Ligi ya Mabingwa Afrika ilikoishia…

Read More

Mwanuke azitaja Simba, Singida BS

KIUNGO mshambuliaji wa Fountain Gate, Jimmyson Mwanuke amezitaja Simba na Singida Black Stars kuwa ndizo timu ambazo zimemuongezea ubora wa kiwango licha ya kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara wakati akizichezea. Mwanuke aliyezitumikia timu hizo kwa nyakati tofauti ameliambia Mwanaspoti kuwa amepata faida kubwa ya kufanya mazoezi na nyota wengi bora ambao wana uwezo…

Read More

Muguna aiota Ligi Kuu Bara

NYOTA wa zamani wa Azam, Mkenya Kenneth Muguna amesema licha ya kucheza Ligi mbalimbali katika fani yake ya soka hadi sasa, ila hajaona Ligi bora na yenye kuvutia sana zaidi kama ya Tanzania, kwenye Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati. Kiungo huyo aliyewahi kuitumikia Azam kwa miaka miwili kuanzia Julai 2021 hadi 2023, akitokea…

Read More

Mgunda: Msihofu Namungo itatisha | Mwanaspoti

LICHA ya kuanza msimu kwa kusuasua katika Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema timu ina mabadiliko, tofauti na msimu uliopita kutokana na wachezaji walioongezwa kikosini kuonyesha ubora. Namungo haijawa bora kwa misimu miwili mfululizo ikiponea tundu la sindano msimu ulioishi na pia haijaanza vizuri, lakini Mgunda amewatoa hofu mashabiki wa timu…

Read More

Shura ya Maimamu yatoa msimamo wake juu ya maridhiano

Dar es Salaam. Shura ya Maimamu Tanzania imetoa msimamo wake kuhusu mustakabali wa maridhiano ya kitaifa kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, ikisisitiza kuwa jitihada za kujenga umoja wa kitaifa zinapaswa kuzingatia ukweli, uadilifu na uwajibikaji wa mamlaka zote zilizohusika katika mchakato wa uchaguzi. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi, Novemba 16, 2025…

Read More