Dereva TFS matatani kwa tuhuma za kifo cha bodaboda aliyepakia mkaa
Morogoro. Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro limeanza kuchunguza tukio la ajali ya gari inayodaiwa kuwa ni mali ya wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) ambayo imemgonga na kumsababishia kifo mwendesha pikipiki aliyetambuliwa kwa jina la Edmund Temba (39) mkazi wa Tubuyu, Manispaa ya Morogoro ambaye alikuwa amebeba mkaa. Kwa mujibu wa Kamanda wa…