Mayanga aona mwanga Mashujaa | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Mashujaa, Salum Mayanga amesema kikosi kinaendelea kuimarika na kutengeneza muunganiko ili kutoa ushindani kwenye Ligi Kuu Bara aliyodai kuwa ni ngumu na bora tofauti na misimu ya nyuma. Kikosi cha timu hiyo Jumatatu kilirudi kwenye uwanja wa mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa na mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City utakaopigwa…

Read More

SMG ataja hekima, ugumu soka la wanawake

KOCHA msaidizi wa Yanga Princess, Said Maulid ‘SMG’ amesema amepata uzoefu tofauti kuwafundisha timu za wanawake, lakini kitu kikubwa ili kufanikiwa hasira ni lazima ziwe mbali. Aliifafanua kauli yake namna wachezaji wa kike wanavyokuwa na ‘mudi’ tofauti, jambo ambalo linachangia upokeaji wa maelekezo ya makocha kuchukua muda mrefu tofauti na wanaume. “Soka la wanawake ni…

Read More

Majimaji Songea kurudi kivingine, yaitaka Ligi Kuu

CHAMA cha Soka Mkoa wa Ruvuma (FARU) kikishirikiana na wadau wa soka mkoani humo wapo katika hatua za mwisho kuifufua upya Majimaji Songea, ili kuhakikisha inarejea tena kwenye medani za soka. Mabingwa hao wa zamani wa Ligi Kuu ya Muungano na iliyowahi kutamba Ligi Kuu Bara, imepotea kwenye soka baada ya kufungiwa na kushushwa daraja…

Read More

Unachohitaji kujua – maswala ya ulimwengu

Ijumaa hii, kwa Siku ya kisukari dunianiUN inaangazia jinsi ugonjwa unavyoathiri ujauzito, sambamba na mada ya mwaka huu ya kudhibiti ugonjwa wa kisukari “katika hatua za maisha”. Shirika pia limezindua miongozo yake ya kwanza ya ulimwengu juu ya jinsi ya kusimamia ugonjwa wa sukari kabla, wakati na baada ya ujauzito. “Miongozo hii imewekwa katika hali…

Read More

JKT v TP Mazembe… Dakika 90 za kuamua

ILE siku ndiyo leo. JKT Queens ina dakika 90 ngumu za kuamua hatma ya kwenda nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake mbele ya TP Mazembe ya DR Congo. Ni ushindi pekee ndiyo utakaoibeba JKT kuandika rekodi mpya binafsi katika michuano hiyo, kwani sare haitakuwa na msaada kwao kwa pointi ilizonazo…

Read More

Mbuni FC ina jambo lake Championship 2025/26

PAMOJA na kuanza vyema msimu mpya wa Ligi ya Championship, Kocha Mkuu wa Mbuni FC, Leonard Budeba amewataka nyota kutobweteka na msimu ujao ni kuzipeleka Yanga na Simba mkoani Arusha. Arusha kwa muda mrefu haijawa na timu  Ligi Kuu tangu iliposhuka daraja JKT Oljoro msimu wa 2015/16 kisha kupigwa mnada na wamiliki wa Gwambina FC…

Read More

Gamondi atupa karata ya kwanza Taifa Stars

TAIFA Stars iliyo chini ya Kocha Miguel Gamondi leo Jumamosi itashuka uwanjani kwa mara ya kwanza kuvaana na Kuwait katika mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayopigwa jijini Cairo, Misri. Kuwait inayokutana kwa mara ya kwanza na Taifa Stars, inashika nafasi ya 135  katika nafasi za viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA Oktoba 17, 2025…

Read More