Wanawake wapaza sauti kusaka nguvu ya uamuzi

Dar es Salaam. Uwepo wa wanawake katika nafasi za uongozi pekee hakutoshi katika uwezeshaji wa wanawake, bali fursa hiyo inapaswa kuambatana na nguvu ya kufanya uamuzi. Vilevile, ushiriki wa wanaume katika safari ya kuwawezesha wanawake nao umetajwa kama jambo muhimu kwa kuwa wote wanategemeana. Msisitizo umetolewa kuwa, haiwezekani kufikia malengo ya uwezeshaji wa wanawake bila…

Read More

DIRA YA MAFANIKIO YA TAIFA – MHANDISI KABUNDUGURU

……………… 📌Aeleza Mkakati huo ni mwongozo wa kitaifa kwa wadau wote 📌Atoa wito kwa Maafisa dawati kuwa chachu ya mabadiliko ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 📌Taasisi zilizo chini ya Wizara zaeleza zinavyotekeleza mkakati wa Taifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia 📍MWANZA Imeelezwa kuwa Mkakati wa Mawasiliano wa Nishati Safi ya Kupikia…

Read More

Wabunge wakunwa na kauli ya Rais kuanzisha Wizara ya Vijana

Dodoma. Wabunge wa Bunge la Muungano wametoa maoni kuhusu hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa leo, Ijumaa, Novemba 14, 2025, wakati akilizindua Bunge la 13, huku wengi wao wakieleza kuwa dhamira ya kuunda wizara mahsusi ya vijana ni hatua muhimu itakayotoa majibu ya changamoto zinazowakabili vijana nchini. Akizungumza na Mwananchi katika viunga vya Bunge,…

Read More

Rais Samia aanika safari ya maridhiano

Dar es Salaam. Siku 17 baada ya machafuko yaliyosababisha vifo na majeruhi wakati wa uchaguzi, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa mwelekeo wa Serikali katika kurejesha mshikamano wa kitaifa, akitangaza hatua mahususi iza kuchukua. Miongoni mwa hatua hizo ni kuundwa kwa tume maalumu kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 na kuanzisha mazungumzo ya maridhiano….

Read More

Kauli ya Rais Samia ndiyo suluhisho kilio cha vijana?

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza leo Novemba 14, 2025. Katika hotuba yake hiyo ametumia muda mrefu kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu vijana, ambao wenyewe wamekuwa wakiona kama wameachwa nyuma. Rais Samia, ambaye ametumia hotuba yake hiyo kutoa mwelekeo mpya wa Serikali yake kwa muhula…

Read More

TFS Yawapandisha Vyeo Makamanda Watatu, Yaongeza Nguvu Katika Usimamizi wa Misitu

Na Mwandishi Wetu, Morogoro. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeimarisha safu yake ya uongozi baada ya Kamishna wa Uhifadhi, Prof. Dos Santos Silayo, kuwapandisha vyeo watumishi watatu walioteuliwa kuwa Makamishna Wasaidizi, kutokana na mchango wao katika kulinda na kusimamia rasilimali za misitu nchini. Walioinuliwa ni Mathew Ntilicha, aliyekuwa Kaimu Kamanda wa TFS Kanda…

Read More

Wadau 1,200 kukutana Arusha kujadili Akili Unde Afrika

Dar es Salaam. Takribani washiriki 1,200 kutoka nchi zaidi ya 40 wanatarajia kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Afrika wa Akili Unde ‘AI’ (APAIC2025) katika kuhimiza mageuzi ya kidigitali, ubunifu na maendeleo endelevu. Mkutano huo utafanyika jijini Arusha katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kuanzia Novemba 24 hadi 27 mwaka huu. Mkurugenzi Mtendaji…

Read More

Samia: Tanzania iheshimiwe kama inavyoheshimu wengine

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania kama Taifa linapenda liheshimiwe kama linavyoheshimu mataifa mengine na katika kulinda masilahi ya nchi, hakuna mbadala. Amesema lazima kuhakikisha tunalinda utu, uhuru, na heshima ya Taifa letu na kwamba nchi itaendelea kuongozwa kwa misingi ya sera ya nje iliyoasisiwa na waasisi ya kutofungamana na upande wowote….

Read More