HATUTORUHUSU KUTOKEA TENA KWA VURUGU NCHINI- SIMBACHAWENE

 :::::::::: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Boniface Simbachawene ametoa wito kwa wananchi na hususani Vijana wa Tanzania kudumisha amani na kuepuka kupanga, kuratibu ama kushiriki kwenye maandamano, akisema kwamba Tanzania bado inakabiliwa na athari kubwa zilizosababishwa na matukio ya Uvunjifu wa amani ya siku ya uchaguzi Mkuu na baada ya uchaguzi…

Read More

WAZIRI AWAAAGIZA TANTRADE KUFANYA KAZI KWA KASI NA WELEDI

::::::::::: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameielekeza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kufanya kazi kwa kasi, weledi na ushirikiano ili kuchochea ukuaji wa uchumi wa Watanzania. Akizungumza Novemba 28, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake katika Mamlaka hiyo, Waziri Kapinga aliambatana na Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Suleiman Serera,…

Read More

BASHIRU AMEWAAGIZA WATENDAJI WA MIFUGO KUIMARISHA MNYORORO WA THAMANI ILI KUONGEZA USHINDANI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ameiagiza sekta ya mifugo kuongeza ubunifu, kufanya tafiti zenye matokeo na kuimarisha mnyororo wa thamani wa mazao ya mifugo ili kuongeza ushindani kimataifa na tija kwa wafugaji.  Bashiru alitoa maagizo hayo, Novemba 27, 2025, wakati wa ziara yake ya kukagua viwanda vinavyozalisha mazao ya mifugo…

Read More

SanlamAllianz Yaendelea Kuwashukuru Mawakala Wake.

Kampuni ya Bima ya SanlamAllianz imewashukuru mawakala wao kwa kufanya kazi nao  Akizungumza wakati wa halfa ambayo imefanyika Novemba, 28,2925 jijini Dar-es-Salaam, Meneja mkuu wa biashara na mawakala,  Geofray Masige amesema kuwa kampuni hiyo  ya SanlamAllianz wanawashukuru  mawakala wake kwa mchango mkubwa walioufanya katika kukuza biashara ya bima.  Pia naenda kuchukua  nafasi hii kuwatambulisha mawakala…

Read More