Samia: Sitachoka kunyoosha tena mkono wa maridhiano

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema ingawa dhamira yake ya maridhiano wakati wa muhula wake wa kwanza wa uongozi ilikatishwa na baadhi ya wadau, katika awamu hii hatachoka kunyoosha tena mkono wa kufanikisha hilo. Katika muhula huo, Rais Samia amesema alikuja na falsafa ya R4 ili kuliunganisha Taifa. Serikali ilionyesha utayari wakati wote…

Read More

Andabwile sasa mambo freshi Yanga

KESI iliyokuwa ikiendelea kati ya Yanga na kiungo wa klabu hiyo, Aziz Andabwile imemalizika baada ya pande zote kufikia makubaliano na sasa kila kitu kipo freshi. Andabwile aliyewahi kuichezea Mbeya City na Fountain Gate kabla ya kutua Yanga, huu ni msimu wake wa pili ndani ya klabu hiyo. Mwanaspoti inafahamu kwamba Andabwile alisaini mkataba wa…

Read More

Kocha Fountain Gate aomba mechi ya moja tu

KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Laizer ameomba mechi moja ya kirafiki ili kukipima kikosi chake kabla ya kukutana na Pamba Jiji. Ikumbukwe kwamba mwezi uliopita ulikuwa wa neema kwa kikosi hicho kwani kimechukua tuzo mbili – Laizer akibeba ya kocha na Juma Issa ya mchezaji bora. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema wake anaona ilikuwa sawa…

Read More

Samia aanza na onyo kwa watendaji

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu amewatangazia hali ya hatari watumishi na watendaji wa Serikali watakaoshindwa kwenda na kasi ya kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi. Amesema hatosita kuwabadilikia wale wote watakaokwenda kinyume na kasi ya utendaji wa Serikali yake inayolenga kuleta maendeleo kwa wananchi. Akizungumza leo wakati akihutubia Bunge jijini Dodoma ikiwa ni ufunguzi wa…

Read More

Mapinduzi ya AI – njia ya mbele – maswala ya ulimwengu

Maoni na Deodat Maharaj (Gebze, Türkiye) Ijumaa, Novemba 14, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Gebze, Türkiye, Novemba 14 (IPS) – Ushauri wa bandia (AI) unabadilisha ulimwengu wetu haraka. Imesaidia kampuni chache katika nchi zilizoendelea kuweka faida za kuvunja rekodi. Mwezi uliopita, Nvidia, kampuni inayoongoza ya AI ya Amerika, iligonga bei ya soko ya dola…

Read More