RWANDA YAIPONGEZA TANZANIA KWA USHIRIKIANO
Tanzania imepongezwa kwa kudumisha upendo na udugu miongoni mwa wananchi wa Afrika Mashariki kwa miongo mingi iliyopita. Balozi wa Rwanda Nchini Kenya Mheshimiwa Ernest Rwamucyo ametoa pongezi hizo leo jijini Nairobi wakati alipotembelea banda la Tanzania kwenye maonesho ya 25 ya Wajasiriamali Wadogo na wa kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi/ Jua…