Programu ya Misitu kunufaisha wakulima wadogo 100,000

Musoma. Zaidi ya wakulima wadogo 100,000 kutoka mikoa ya Mara, Mwanza na Pwani wanatarajiwa kunufaika na programu ya kilimo misitu, ikiwa na lengo la kuboresha uzalishaji wa kilimo na kuongeza kipato cha kaya, jamii na taifa kwa ujumla. Programu hiyo inatarajiwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2028 na Shirika lisilo la kiserikali la Vi Agroforestry…

Read More

Mbeya kukusanya Sh800 milioni kupitia mradi wa parachichi

Mbeya. Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inatarajia kukusanya takribani Sh800 milioni kwa mwaka kupitia mradi wa kilimo cha parachichi, hatua inayotarajiwa kuchochea uchumi wa wananchi na kufungua fursa za ajira kwa vijana. Imebainishwa kuwa sekta za kilimo, mifugo na uvuvi ambazo kwa pamoja huchangia zaidi ya asilimia 67 ya pato la halmashauri hiyo, zinaendelea kupewa…

Read More

Hekaheka ya kujinusuru wasio na makazi Oktoba 29

Dar es Salaam. Ni usiku wa Oktoba 29, 2025 mitaa ya Ubungo, wakati wengi wakiwa majumbani wamelala, wengine wakihangaika kusaka njia za usalama, Patrick Matano alikuwa bado barabarani akitafuta sehemu ya kujificha. β€œWatu wengine waliniambia, β€˜Dogo umefika, ujifiche,’ muda huo walikuwa wanasema ni saa 10:00 jioni,” anasema Matano (14), miongoni mwa vijana wasio na makazi…

Read More

Kesi ya Mtihani ya Kulinganisha Kitendo cha Hali ya Hewa, Usalama wa Chakula na Uimara wa Jamii – Maswala ya Ulimwenguni

Mikopo: UNICEF/GEMA Espinoza Delgado Maoni na Caroline Delgado (Stockholm, Uswidi) Ijumaa, Novemba 14, 2025 Huduma ya waandishi wa habari STOCKHOLM, Sweden, Novemba 14 (IPS) – Uharaka wa kuunganisha hatua za hali ya hewa na vipaumbele vya mazingira na pana ni wazi. Mabadiliko ya hali ya hewa, uharibifu wa mazingira na migogoro ya vurugu mara nyingi…

Read More

Vigezo vilivyombeba Nchemba kuwa Waziri Mkuu

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema uteuzi wa Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania umepitia ushindani mkubwa na vigezo kadhaa, akiwashinda wenzake kwa sifa. Amesema Dk Mwigulu amefanya kazi katika sekta ya fedha kwa muda mrefu na anazijua chochoro za upatikanaji wa rasilimali hiyo, akitarajia atamsimamia Waziri wa Fedha atakayeteuliwa kufanya…

Read More