Usiyoyajua hotuba tatu za Rais Samia bungeni

Wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipolihutubia Bunge la 12, katika Mkutano wa Pili, Aprili 22, 2021, hotuba yake ilichukua takribani saa moja na dakika 30 (dakika 90). Rais Samia alitoa hotuba hiyo wakati huo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa Job Ndugai huku Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,…

Read More

RAIS SAMIA ATOA NENO KWA DKT. MWIGULU DHIDI YA VISHAWISHI VYA MARAFIKI WA MADARAKA

 Na Janeth Raphael – MichuziTv -Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtakia kheri Waziri Mkuu mpya wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akimtaka kuepuka vishawishi vya ndugu, jamaa na marafiki na badala yake ajielekeze zaidi katika kuwatumikia Watanzania. Rais Samia amebainisha hayo leo Ijumaa Novemba 14, 2025 katika hotuba…

Read More

Chippo atua kuinoa Mtibwa | Mwanaspoti

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umemshusha rasmi nchini aliyekuwa Kocha wa Pamba Jiji, Coastal Union na TRA United zamani Tabora United, Mkenya Yusuf Chippo ili kukiongoza kikosi hicho msimu wa 2025-2026, kwa kushirikiana na Awadh Juma ‘Maniche’. Timu hiyo iliyorejea tena Ligi Kuu msimu wa 2025-2026, baada ya kushuka 2023-2024, ilianza msimu kwa kufundishwa na Awadh…

Read More

Mrundi apewa rungu TRA United

MABOSI wa TRA United zamani Tabora United, wapo hatua za mwisho za kumtangaza kocha mkuu Etienne Ndayiragije, raia wa Burundi ili kukiongoza kikosi hicho msimu huu, huku akiachiwa msala wa kutafuta atakayekuwa msaidizi wake. Chanzo cha habari kutoka timu hiyo, kililiambia Mwanaspoti, Ndayiragije aliyezifundisha Mbao FC, Azam FC, KMC na timu ya taifa ya Tanzania,…

Read More

2,500 kuliamsha kwa siku tatu Rombo Marathoni 2025

WAKATI wanariadha 2,500 wakitarajiwa kushiriki msimu wa nne wa mbio za Rombo Marathon, taarifa njema ni kwamba tofauti na misimu iliyopita safari hii mbio hizo zitafanyika kwa siku tatu mfululizo. Tamasha la mbio hizo limepangwa kuanza Desemba 22, 2025 kwa washiriki kufanya utalii chini ya Mlima Kilimanjaro katika misitu ya Kinapa kupitia muongozo wa Wakala…

Read More

Singida Black Stars yawavutia kasi Waalgeria

KIKOSI cha Singida Black Stars kimeingia kambini jana kujiandaa na maandalizi ya mechi ya kwanza ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CR Belouizdad, itakayopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela huko Algiers Novemba 22. Mechi hiyo ya kundi C ilipangwa kuchezwa Jumapili ya Novemba 23, ila imerudishwa nyuma na sasa itachezwa…

Read More

Kesi TFF kumfungia kocha yasimama kwa muda 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es  Salaam, Kisutu imesimamisha kwa muda usiojulikana usikilizwaji wa kesi ya Kocha Listoni Katabazi dhidi ya  Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), akipinga kusimamishwa na TFF kujishughulisha na soka maisha yake yote. Mahakama hiyo imesimamisha usikilizwaji wa kesi hiyo baada TFF kukimbilia Mahakama ya Rufani, ilikokata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama…

Read More