Tuwalinde hivi watoto, vijana dhidi ya kisukari
Russia. Leo ni Siku ya Kisukari Duniani, chini ya uratibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) yenye kaulimbiu isemayo “Kisukari na Ustawi.” Katika kuadhimisha siku hii muhimu, tunajadili kisukari cha aina ya pili kwa watoto, ugonjwa unaoongezeka kwa kasi duniani kote. Kama ilivyo kwa watu wazima, kisukari cha aina ya pili hutokea pale ambapo mwili…