ICGLR YAJIPANGA KUIMARISHA AMANI KATIKA KANDA
:::::::: Imeelezwa kuwa Jumuiya ya nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ni jukwaa sahihi la kupata ufumbuzi wa Kudumu wa changamoto zinazozikabili nchi wanachama kama vile ukosefu wa amani, usalama na maendeleo endelevu. Hayo yamebainishwa jijini Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Novemba 13, 2025 wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kawaida…