Sura ya baraza la mawaziri la Samia

Dar es Salaam. Utabiri kuhusu nafasi ya waziri mkuu umekwisha na tayari Dk Mwigulu Nchemba (50) ameteuliwa na kuidhinishwa na Bunge kushika wadhifa huo. Kituo kinachofuata sasa ni kina nani watakaokuwa sehemu ya Baraza la Mawaziri, ambalo Rais Samia Suluhu Hassan atakaa na Dk Nchemba kuliteua. Hata hivyo, katika uteuzo huo lolote linaweza kutokea, kwa…

Read More

Dk Mwinyi atahadharisha wateule wa uwaziri

Unguja. Wakati Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, akitangaza Baraza jipya la Mawaziri, amesema dhamira yake ni kuacha alama itakayokumbukwa katika historia ya uongozi wake, huku akiwatahadharisha wanaomwona kuwa ni mpole kwamba safari hii atakuwa mkali zaidi kuliko awamu iliyopita. Akizungumza leo Alhamisi, Novemba 13, 2025, Ikulu Zanzibar, mbele ya waandishi wa habari wakati akitangaza…

Read More

Nabii Mkuu Geor Davie ateuliwa UN-PAF Afrika Mashariki

Dar es Salaam. Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako la jijini Arusha, Nabii Mkuu GeorDavie Moses ameteuliwa na Shirika la Mabalozi wa Amani la Umoja wa Mataifa (United Nations Peace Ambassadors Forum – UN-PAF) kuwa Balozi na Mwakilishi wa Afrika Mashariki. Uteuzi huo umetangazwa hivi karibuni jijini New York, Marekani, ambapo Mwenyekiti wa…

Read More

Nabii Mkuu GeorDavie ateuliwa UN-PAF Afrika Mashariki