Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Nchemba Apokelewa kwa Shangwe Dodoma – Video – Global Publishers
Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba, amepokelewa kwa heshima kubwa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu katika makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, leo Novemba 13, 2025. Mapokezi hayo yamefuatia uteuzi wake uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuthibitishwa rasmi na Bunge…