Kimenya akiri mambo magumu Ligi Kuu
NAHODHA wa Tanzania Prisons, Salum Kimenya amesema Ligi Kuu Bara msimu huu ni ngumu, hata hivyo wanajipanga kwa mechi ijayo dhidi ya Tabora United itakayopigwa Novemba 22 kwani, wamejiandaa vizuri kupata pointi tatu ili kujiweka pazuri kiushindani. Prisons itakuwa ugenini katika mechi hiyo itakayopigwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora na itashuka uwanjani…