WAZIRI MKUU MTEULE AAHIDI KUREJESHA HESHIMA YA UTENDAJI KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA

……………. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Alhamisi Novemba 13, 2025 limemthibitisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu kuwa Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiahidi kufanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha kuwa maono na ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan zinateketekelezwa ili kuwaletea wananchi ustawi na maendeleo kwa miaka mitano…

Read More

DKT. MWIGULU NI KIONGOZI MCHAPAKAZI NA MWENYE BIDII- MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Na Mwandishi wetu – Bungeni Dodoma Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Said Johari, amemtaja Waziri Mkuu mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Kiongozi mchapakazi, akidhihirisha uwezo wake wa kuwatumikia watanzania kwenye nafasi mbalimbali alizowahi kushika kwenye serikali za awamu mbalimbali. Mhe. Johari amebainisha hayo leo Alhamisi Novemba 13, 2025 Bungeni Mjini Dodoma…

Read More

ACT- Wazalendo waachiwa wizara nne SUK

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameziacha wazi wizara nne kati 20 alizoziunda na kuteua mawaziri wake kwa ajili ya ACT Wazalendo endapo chama hicho kitaamua kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Chama hicho kimekidhi vigezo vya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa kushirikiana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na sasa kitakuwa…

Read More