TFS Yazindua Mahema ya Kisasa Kunogesha Utalii wa Msituni

Arusha. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) leo umezindua mahema 40 ya kisasa (semi-luxury tents) ili kuboresha huduma za malazi na kuongeza mvuto wa hifadhi zake kwa watalii. Tukio hilo limefanyika katika kiwanda cha TARPO, jijini Arusha, likihusisha wawakilishi wa vituo vya utalii vilivyopewa mahema hayo. Mahema hayo yatasambazwa katika hifadhi za Pugu–Kazimzumbwi (10),…

Read More

TFS Yaivutia China kwa Mbinu za Uhifadhi Endelevu

Tanzania imeendelea kujijengea heshima kimataifa katika usimamizi endelevu wa misitu baada ya kupokea ujumbe wa wataalamu wa misitu kutoka Jimbo la Yunnan, nchini China, waliowasili nchini kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kubadilishana uzoefu na utaalamu wa uhifadhi. Ujumbe huo, ulioanza ziara yake Novemba 11 na unatarajiwa kumalizika Novemba 14, 2025, leo Jumatano umetembelea…

Read More

Wamiliki wa maarifa asilia wanataka kukubaliwa – maswala ya ulimwengu

Allison Kellen, mmiliki wa maarifa asilia kutoka Visiwa vya Marshall. Mikopo: Tanka Dhakal/IPS na Tanka Dhakal (Belém, Brazil) Jumatano, Novemba 12, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Wakati mwingi, tunazungumza juu ya maelezo… hatuzungumzi juu yetu. Na ‘sisi’ ni maisha. ‘Sisi’ ni ardhi. ‘Sisi’ ni maarifa. Kwa hivyo anza kufikiria juu yetu, kwa sababu ‘sisi’…

Read More

TTCL YAZINDUA KIFURUSHI CHA HUDUMA MLANGONI MWAKO

Na Mwandishi Wetu Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua kifurushi cha huduma ya Faiba Mlangoni kwako kwa ajili ya kumuwezesha mteja kupata huduma ya Internet yenye kasi kwa gharama nafuu. Kifurushi hichi ni bora na Uhakika wa huduma hiyo popote ulipo saa 24/7 kinachopatikana kwa gharama nafuu kuanzia 70,000 kwa mwezi. Akizungumza wakati wa uzinduzi…

Read More

Wanayotaka kusikia kwa Rais Samia

Dar/Mikoani. Rais Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Novemba 14 2025 atalizindua kwa kulihutubia ambapo pamoja na mambo mengine, wananchi watarajia kusikia masuala saba. Masuala hayo ni msimamo wa Serikali kuhusu maandamano yaliyozaa vurugu na vifo wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 na mikakati ya kurejesha hali ya kawaida na kuondoa mgawanyiko,…

Read More

Rais Samia amteua Dk Mwigulu kuwa Waziri Mkuu

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu. Jina la Dk Mwigulu limewasilishwa bungeni saa 3:06 asubuhi leo Alhamisi, Novemba 13, 2025 na mpambe wa Rais kwa Spika wa Bunge, Mussa Zungu, kisha kusomwa kwa wabunge ambao watamthibitisha kwa kura. Dk Mwigulu ambaye ni Mbunge wa Iramba Magharibi Mkoa wa…

Read More

Wakati wa kutenda – maswala ya ulimwengu

Kikao cha Mkutano wa Pili wa Ulimwengu wa Maendeleo ya Jamii huko Doha Maoni na Isabel Ortiz (Doha) Jumatano, Novemba 12, 2025 Huduma ya waandishi wa habari DOHA, Novemba 12 (IPS) – Qatar ilishikilia Mkutano wa Pili wa Ulimwengu wa Maendeleo ya Jamii kutoka 4-6 Novemba. Kulingana na Umoja wa Mataifa, wakuu zaidi ya 40…

Read More