Serikali yaja na mpango wa ufuatiliaji wanaokatisha masomo

Dar es Salaam. Baada ya kilio cha muda mrefu cha wadau wa elimu kufuatia kukosekana kwa usimamizi wa uamuzi wa kuwarejesha shuleni wanafunzi waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwamo ujauzito, Serikali imekuja na mpango wa utekelezaji wa mwongozo huo. Novemba 24, 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuruhusu kurejea shuleni kwa wanafunzi…

Read More

Dk Mwinyi kutangaza Baraza la Mawaziri kesho

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi anatarajia kutangaza Baraza la Mawaziri kesho Alhamisi, Novemba 13, 2025 Ikulu Zanzibar. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Raqey Mohamed leo Novemba 12, 2025 imesema hafla hiyo itafanyika saa 4:00 asubuhi. “Hafla hiyo itahudhuriwa na wahariri na waandishi wa habari…

Read More

Ujue utaratibu, historia ya uwakilishi wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika Bunge la Tanzania

Unguja. Wakati wengi wakijiuliza kuhusu uchaguzi wa wajumbe watano wa Baraza la Wawakilishi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutofanyika. Ukweli ni kwamba, wajumbe hao wanatarajiwa kuchaguliwa katika mkutano wa pili wa Baraza la 11, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano Baraza la Wawakilishi, Himid Choko amesema hayo alipozungumza na Mwananchi leo…

Read More

Waandamanaji wanakabiliwa na usalama kama wanaharakati wa COP30 unavyozidi-maswala ya ulimwengu

Wajumbe wa CST UIT-qi, ambayo inahusu Corrente Societysta dos Trabalhadores (CST) au mnyororo wa ujamaa wa wafanyikazi, wakipinga Jumanne usiku nje ya ukumbi wa COP30. Mikopo: Joyce Chimbi/IPS na Joyce Chimbi (Belém, Brazil) Jumatano, Novemba 12, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BELém, Brazil, Novemba 12 (IPS) – Katika kuondoka kutoka kwa askari wawili waliopita,…

Read More

Matamanio ya wabunge kwa waziri mkuu ajaye

Dodoma. Wakati jina la Waziri Mkuu mpya wa Tanzania likitarajiwa kutangazwa kesho bungeni, baadhi ya wabunge wameeleza matarajio yao kuhusu aina ya kiongozi wanayemtamani kushika wadhifa huo. Wengine wamesema wanatamani apatikane Waziri Mkuu mwenye sifa kama za hayati Edward Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa sita wa Tanzania. Akizungumza kuhusu suala hilo leo Jumatano Novemba 12,…

Read More

Lissu alianzisha upya, awapinga mashahidi wa ‘ufichoni’

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, amepinga kuendelea na usikilizwaji wa kesi hiyo kwa kusikiliza ushahidi wa shahidi fiche wa Jamhuri. Kesi hiyo, inayosikilizwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam na jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama…

Read More