ELIMU YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUOKOA MAISHA ZAIDI YA ELFU 33 KILA MWAKA NCHINI

……………….. 📌Wizara ya Nishati yasema elimu kwa maafisa dawati italeta mapinduzi ya kiafya na kimazingira 📌Mikoa ya Kanda ya Kati na Kaskazini wanufaika na elimu 📌Maafisa Dawati kutumia elimu hiyo kutekeleza azma ya Serikali 📍SINGIDA Elimu ya matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia inayotolewa na Wizara ya Nishati kwa maafisa dawati na waratibu wa nishati…

Read More

UJUMBE KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI UKIONGOZWA NA BALOZI MEJA JENERALI WILBERT AUGUSTINE IBUGE WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO NGORONGORO.

Na Mwandishi Wetu, Karatu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ( NDC) Balozi Meja Jenerali W.A. Ibuge ameongoza wakufunzi na Wanafunzi kutoka mataifa 17, kutembelea eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa kuanzia jengo la makumbusho ya Jiopaki ( Urithi Geo- Museum) kwa ziara ya utalii na kimafunzo. Ujumbe huo umejifunza mambo mbalimbali kuhusu…

Read More

Majeraha ya Fei yaitikisa Azam

KINACHOFANYWA na madaktari wa Azam hivi sasa ni kumpambania kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ awepo kwenye mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Maniema. Hiyo inatokana na Fei Toto kuumia nyonga katika mechi iliyopita ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1. Kuumia kwake…

Read More