Azam yaiamsha Namungo | Mwanaspoti
BAADA ya kuambulia pointi moja katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam, winga wa Namungo FC, Helbert Lukindo amesema bado wana kazi ngumu kusaka matokeo mazuri kutokana na ugumu wa ligi hiyo msimu huu, hivyo wanaendelea kupambana. Namungo haijawa na matokeo mazuri msimu huu kwani katika mechi sita ilizocheza imekusanya pointi sita sawa…