Vijana ACT Wazalendo wataja njia kufanikisha maridhiano
Dar es Salaam. Ngome ya vijana wa ACT – Wazalendo imetoa kauli kufuatia vurugu zilizotokana na maandamano ya Oktoba 29, 2025 ikisisitiza maridhiano kuponya Taifa. Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Taifa wa ngome hiyo, Abdul Nondo alipozungumza na waandishi wa leo Jumatano, Novemba 12, 2025 jijini Dar es Salaam. Akisoma maazimio ya ngome hiyo,…