Bunge Kumthibitisha Waziri Mkuu na Kumchagua Naibu Spika Kesho – Global Publishers
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho tarehe 13 Novemba 2025, Bunge la 13 katika Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Tatu, litakuwa na shughuli muhimu ya kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sambamba na uchaguzi na uapisho wa Naibu…