Haki si tu itendeke, bali ionekane kutendeka

Haki huinua taifa (Mithali 14:34), na haki na amani vinagusana (Zaburi 85:10). Wenye kutoa hukumu dhidi yetu na dhidi ya wengine watoe hukumu kwa haki (Qur’an 4:58) na haki ifanywe kipaumbele (Qur’an 16:90). Tujitahidi kudumisha Tanzania ya uhuru, umoja na amani; zaidi tujenge Tanzania mpya yenye haki, usawa na furaha, misingi ya amani ya kweli….

Read More

FYATU MFYATUZI: Ole wao wale mafyatu mamluki waliotufyatua

Kwanza, natuma rambirambi kwa mafyatu waliofyatuliwa bahati mbaya baada ya mafyatu wa ‘kigeni’ aka ‘mamluki’ kukinukisha na kutufyatua na kupotezea sifa ya kisiwa cha imani ya amani, mshikamano, mapendano, na upendo. Nasikia hawa mafyatu wa kigeni waliua mafyatu wetu wasiopenda mbambamba na kusingizia mageshi yetu hasa ndata wasioweza kuua hata mbu. Wakimkamata, wanamuamuru aruke apotelee…

Read More

Vurugu za uchaguzi zilivyoathiri uchumi wa Tanzania, mataifa jirani

Migogoro ya kisiasa ni miongoni mwa mambo yanayoathiri kwa kiwango kikubwa maendeleo ya kiuchumi katika mataifa mengi duniani. Migogoro hiyo, pia husababisha kukosekana kwa amani na kutishia usalama wa watu, hivyo kusababisha kusimama kwa shughuli za kila siku zinazofanywa na wananchi kujipatia kipato. Baadhi ya wadau wanatahadharisha kuwa migogoro hiyo isipotatuliwa ipasavyo huweza kuleta athari…

Read More

Bunge la 13 na mtihani wa 50/50 majimboni

Dar es Salaam. Bunge la 13, litakuwa na wanawake 38 pekee walioshinda ubunge wa majimbo, kati ya wabunge 272 wanaowakilisha wananchi kupitia majimboni kwa mujibu wa matokeo ya kura za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu. Idadi hiyo ya wanawake walioshinda ubunge wa majimbo, ni sawa na asilimia 5.23 ya wabunge wote 272 wa…

Read More

Kilio cha Malale kwa washambuliaji, mabeki Mbeya City

LICHA ya kukusanya pointi nane kwenye mechi sita walizocheza wakishinda mbili, sare mbili na vipigo viwili, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amelia na washambuliaji na walinzi wa timu hiyo akiweka wazi kuwa hawana uwiano mzuri, hivyo ana kazi kubwa ya kufanya kuiweka timu hiyo kwenye ushindani. Malale ambaye mechi mbili za mwisho amekusanya…

Read More