Uchaguzi Zanzibar na tafasiri ya amani ya kweli

Sasa ni wiki ya pili tangu kufanyika kwa uchaguzi wa Rais, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Bunge na madiwani. Tofauti na chaguzi zilizopita, safari hii hakukuwa na mauaji, ulemavu, wajane, mayatima wala watu kupigwa viboko kama ilivyowahi kushuhudiwa awali. Tangu kuanza kwa mchakato wa uandikishaji wapigakura hadi kufanyika kwa kura ya mapema Oktoba 28, 2025…

Read More

Straika Yanga autamani ubingwa | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Yanga Princess, Jeaninne Mukandayisenga amesema kama wachezaji wana kiu ya kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake na kuandika historia kwa mara ya kwanza. Tangu Ligi ya Wanawake ianzishwe mwaka 2017 ni timu tatu tu zimenyakua ubingwa, Mlandizi Queens walioweka historia ya kuchukua kwa mara ya kwanza huku Simba Queens na JKT Queens…

Read More

Dakika 90 jasho na damu kwa JKT Queens

BAADA ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye mechi ya kwanza wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake, JKT Queens sasa wana dakika 90 za jasho na damu za pointi tatu dhidi ya ASEC Mimosas. Mechi hiyo ya kundi B inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Suez Canal saa…

Read More

Kilio cha Malale kwa washambuliaji, mabeki

LICHA ya kukusanya pointi nane kwenye mechi sita walizocheza wakishinda mbili, sare mbili na vipigo viwili, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amelia na washambuliaji na walinzi wa timu hiyo akiweka wazi kuwa hawana uwiano mzuri, hivyo ana kazi kubwa ya kufanya kuiweka timu hiyo kwenye ushindani. Malale ambaye mechi mbili za mwisho amekusanya…

Read More

Nahodha Mtibwa Sugar atoa siku 14

NAHODHA wa Mtibwa Sugar, Erick Kyaruzi amesema licha ya kutoruhusu mabao mengi katika mechi tano walizocheza, lakini kuna uhaba wa mabao ya kufunga akieleza kuwa siku 14 walizonazo kabla ya kushuka uwanjani watajisahihisha. Pia amewatoa hofu mashabiki kuwa licha ya matokeo waliyoanza nayo kutokuwa mazuri sana, lakini Mtibwa Sugar ina nafasi ya kufanya vizuri na…

Read More