Naibu Waziri aanzia kazi mtandaoni, apewa mambo saba

Dar es Salaam. Siku 12 baada ya kuteuliwa na kuapishwa, mawaziri na naibu wao kila mmoja kwa kasi na njia yake, wanawafikia wananchi wakitaka kujua changamoto zao na namna ya kuzitatua. Rais Samia Suluhu Hassan, alitangaza Baraza la Mawaziri Novemba 17, 2025, likiwa na mawaziri 27. Miongoni mwao, wapo walio ziarani mikoani kuonana ana kwa…

Read More

Tanzania, DRC zaimarisha masoko biashara ya nafaka

DRC. Serikali ya Tanzania imeendelea kupanua wigo wa masoko ya mazao ya nafaka katika ukanda wa Afrika ya Kati, baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Dk Stephen Nindi kutangaza kuwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) uko tayari kuimarisha ushirikiano na CRDB …

Read More

Heche, Mnyika walivyopangua kifungo madai ya kuidharau Mahakama

Dar es Salaam. Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwamo Makamu Mwenyekiti – Bara, John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika, wamepangua shauri la madai ya kuidharau Mahakama lililokuwa likiwakabili. Heche na wenzake walikuwa wakikabiliwa na shauri hilo Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, lililofunguliwa na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa  Chadema, Zanzibar,…

Read More

Mashujaa yabanwa nyumbani,  Johola azidi kufunika

MAAFANDE wa Mashujaa ya Kigoma leo jioni ilishindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kubanwa mbavu nyumbani na Dodoma Jiji na kutoka suluhu, huku kipa wa timu hiyo, Erick Johola akiendelea kung’ara akiong’oza kwa clean sheet, akifikisha tano. Ikicheza kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa ilishindwa kuendeleza wimbi la ushindi kwa…

Read More

Serikali yaibua mkakati mpya kwa vijana

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitangaza mikakati nane ya kukuza uwekezaji katika mwaka 2025/2026, vijana wamepewa nafasi kubwa ili kuwa miongoni mwa wawekezaji wakubwa nchini. Ili kuongeza ushiriki wao, Serikali imetangaza kuanzisha kituo cha kuwasaidia vijana kufanya uwekezaji na kuwatengea maeneo maalumu kwa ajili ya ujenzi wa viwanda. Hayo yameelezwa leo Novemba 28, 2025 na…

Read More

TMA yatangaza ongezeko la joto katika mikoa minne

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kuhusu kuongezeka kwa kiwango cha joto katika maeneo mbalimbali nchini, hususan mikoa inayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka. Ongezeko hilo limeonekana kwa wiki za karibuni na limehusishwa moja kwa moja na kusogea kwa jua la utosi pamoja na upungufu wa mvua katika…

Read More