NIKWAMBIE MAMA: Mtego unaweza kumnasa aliyemo na asiyekuwamo
Panya aligundua kuwa baada ya kuharibu suti ya harusi, alitegewa kwa mitego na sumu hadi chooni. Usiku aliibuka kama kawaida yake, alipoona kuwa katayarishiwa silaha za maangamizi alikimbilia kwenye banda la kuku, akamwambia jogoo kuwa hali si shwari na kumwomba aupige teke japo mtego mmoja naye apate mlo wake. Jogoo akamkatalia. Kadhalika mbuzi na ng’ombe…