HANDENI MJI YAAINISHA MIKAKATI MITANO KUIMARISHA AFUA ZA LISHE
Na Mwandishi Wetu HALMASHAURI ya Mji Handeni imeainisha mikakati mitano ya kuimarisha utekelezaji wa afua za lishe, ili kukabiliana na changamoto za utapiamlo na kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa na uzito pungufu. Akisoma taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Afua za Lishe kwa Robo ya Kwanza, Novemba 11, 2025, Ofisa Lishe wa Halmashauri hiyo,…