Bei ya tumbaku yazidi kupaa mahitaji yakiongezeka

Dar es Salaam. Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita bei ya tumbaku katika Soko la Dunia imeongezeka kwa asilimia 42.44 kati ya mwaka 2022 na 2025, ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaeleza. Ripoti hiyo inayoangazia tathmini ya hali ya uchumi ya kila mwezi inaonyesha kuwa tani moja ya tumbaku imefikia dola za Marekani…

Read More

MHE. HAMZA S. JOHARI AAPISHWA KUWA MBUNGE

  ……………. Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amekula kiapo cha Uaminifu mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Musa A. Zungu, tarehe 11 Novemba, 2025. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameapishwa kuwa Mbunge katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa kumi na tatu(13) wa Bunge la Jamhuri ya…

Read More

Watanzania wawili washinda tuzo watafiti chipukizi Marekani

Dar es Salaam. Watanzania wawili wanasayansi kutoka Taasisi ya Afya ya Ifakara Health (IHI), Paul Mrosso na GloriaSalome Shirima wameshinda Tuzo ya Mtafiti Mdogo ya Marekani ya ASTMH (American Society of Tropical Medicine and Hygiene), mwaka 2025 huko Toronto, Ontario, Canada. Tafiti walizoshinda zilihusu kubuni mbinu za kuongeza mafanikio ya kuzaliana kwa mbu wa Anopheles…

Read More

Ruby Play Yachochea Msisimko Mpya Meridianbet

MERIDIANBET inazidi kuthibitisha nafasi yake kama kinara wa burudani mtandaoni kwa kuanzisha ushirikiano na Ruby Play, jina linalotikisa ulimwengu wa michezo ya kasino. Hii si tu ni hatua ya kuongeza idadi ya michezo, bali ni uzinduzi wa enzi mpya ya ubunifu, ubora na msisimko kwa kila mchezaji anayetafuta burudani ya kipekee yenye ladha ya ushindi…

Read More

MAFIA NA MIKAKATI ENDELEVU KUPAMBANA NA TAKA BAHARINI

Na Mwamvua Mwinyi, Mafia KATIKA mwambao wa Mashariki mwa Tanzania, Kisiwa cha Mafia kinajulikana kwa utulivu wake wa asili, mandhari ya kuvutia ya bahari na matumbawe yaliyojaa uhai.  Hata hivyo, chini ya uso wa samawati wa maji yake, changamoto ya uchafuzi wa mazingira ya baharini inaendelea kukua, ikiathiri viumbe wa majini na kutishia uchumi wa…

Read More

Watanzania Waonesha Uwezo Katika Kampuni za Ubia

Na Mwandishi wa OMH KWA muda mrefu, kampuni nyingi za ubia kati ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji wa kimataifa ziliongozwa na wataalamu kutoka nje ya nchi. Lakini sasa, upepo umegeuka, baadhi ya kampuni hizo zinaongozwa na wazawa — na matokeo yake yanaonekana wazi, kimkakati na kifedha. Tanzania inashuhudia kizazi kipya cha viongozi wazawa wakiongoza…

Read More