Rais Mwinyi Mgeni Rasmi SQ Zanzibar Marathon

Na Mwandishi Wetu RAIS na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt.Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mbio za SQF Zanzibar Cleft zitazofannyika Oktoba 21. Mbio hizo zimeandaliwa na The Same Qualities Foundation (SQF) kwa ajii ya kusaidia kutoa huduma ya upasuaji wa midomo wazi (Sungura) imeandaa mbio zinazojulikana SQF Zanzibar Marathon zitazofanyika Oktoba…

Read More

Chenge apania namba JKT Queens

Mchezaji wa JKT Queens, Elizabeth Chenge amesema msimu huu amepanga kufanya vizuri ili kujihakikishia nafasi ya kucheza kwenye kikosi hicho kilichojaa nyota wakali. Chenge alisajiliwa msimu uliopita akitokea Alliance Girls ya Mwanza ambako alilelewa tangu anaanza soka 2021. Akizungumza na Mwanaspoti Chenge amesema msimu uliopita ulikuwa wa kujifunza na kupata uzoefu kwenye timu kubwa kama…

Read More

Furahika Yaja na Kozi Mpya Katika Soko la Ajira

NA MWANDISHI WETU UONGOZI wa Chuo cha Ufundi Farahika kinachoendesha mitaala yake chini usimamizi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kimetangaza kuanza kufundisha kozi mpya nane ikiwemo ya Uhasibu. Mkuu wa Chuo hicho kilichopo Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam ndani ya Chuo Kikuu cha St John, Aliko Mmongele amesema kozi…

Read More