Jamhuri ilivyojibu pingamizi kesi ya Niffer na wenzake

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa uhalali wa hati ya kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (26), maarufu Niffer na wenzake 21, Novemba 25, 2025. Mahakama hiyo imepanga tarehe hiyo kutoa uamuzi huo, leo Jumanne, Novemba 11, 2025, baada ya kukamilisha usikilizwaji wa pingamizi dhidi ya…

Read More

TIMU YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YATINGA MANYARA NA ARUSHA

……………………… Na Sixmund Begashe, Arusha Timu ya wataalamu wa Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza ukusanyaji wa taarifa na takwimu kwa ajili ya tathmini ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Wizara (2021/2022–2025/2026) katika mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro. Akizungumza kuhusu ziara hiyo inayoongozwa na Mtaalamu Mshauri kutoka Chuo Kikuu…

Read More

COP 30 na hatima ya sayari – maswala ya ulimwengu

Msitu wa mvua wa Amazon, unaofunika sehemu kubwa ya kaskazini magharibi mwa Brazil na unaenea katika nchi zingine za Amerika Kusini, ndio msitu mkubwa zaidi wa mvua ulimwenguni na ni muhimu kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa. Mikopo: CIAT/Neil Palmer Chanzo cha Habari Maoni na Asoka Bandarage (Washington DC) Jumanne, Novemba 11, 2025 Huduma…

Read More

Ukitaka Taarifa Zote za Michezo Ingia Meridianbet Sport Portal – Global Publishers

Last updated Nov 11, 2025 Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa soka kujua mambo mbalimbali yanayoendelea ya kimichezo, kasino, usajili, matokeo, na kupata fursa za kubashiri mechi mbalimbali. Kupitia Kampuni…

Read More

Sarkozy atoka gerezani, sasa kuwa chini ya uangalizi

Paris. Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy ameachiwa gerezani, ikiwa ni wiki tatu tu katika kifungo chake cha miaka mitano baada ya kupatikana na hatia ya kushiriki katika njama ya uhalifu. Atakuwa chini ya uangalizi wa mahakama huku akiwa haruhusiwi kuondoka Ufaransa kabla kesi yake ya rufaa itakaposikilizwa mwaka ujao. Oktoba 21, 2025, rais…

Read More

Rungu lawashukia waamuzi wawili Zanzibar

WAAMUZI wawili kati ya watatu waliochezesha mechi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), kati ya Chipukizi na New Stone, Is’haka Yona Thomas (mwamuzi wa kati) na Saleh Khalfan Mohamed (mwamuzi msaidizi namba moja), wamefungiwa miezi mitatu na kutozwa faini ya Sh500,000 kila mmoja baada ya kubainika kushindwa kuzitafsiri vizuri sheria 17 za mpira wa miguu. Mechi…

Read More