Maofisa wa ulinzi kutoka nchi 17 watua nchini kujifunza utalii katika usalama wa Taifa
Arusha. Zaidi ya maofisa 72 wa ulinzi na usalama kutoka nchi 17, ndani na nje ya Afrika, wametua jijini Arusha kwa ziara ya siku tano kujifunza kwa vitendo namna sekta ya utalii inavyochangia ustawi wa uchumi na usalama wa Taifa. Maofisa hao kupitia Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), wametua jijini Arusha jana Novemba 10,…