Simba, Yanga zabisha hodi TFF

TAIFA Stars itacheza mechi moja dhidi ya Kuwait, baada ya viongozi wa klabu za Simba na Yanga kugonga hodi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuomba mastaa wanaoshiriki michuano ya CAF kurejea katika vikosi vyao mapema. Stars iko katika ratiba ya mechi ya kirafiki kalenda ya FIFA, ikijipanga kuvaana na Kuwait, Novemba 14, jijini Cairo, Misri…

Read More

FIFA yampa Kizuguto mechi za lawama, Nigeria v Gabon

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limemteua Mtanzania Baraka Kizuguto kuwa Mratibu Mkuu wa mechi za mchujo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa kanda ya Afrika ambazo zitafanyika Morocco, Novemba 23 na Novemba 16 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefafanua kuwa Kizuguto atasimamia mechi moja…

Read More

MADINI YA SPINELI YAPELEKA UTALII WA MADINI MAHENGE

Mahenge, eneo lililopo mkoani Morogoro, Wilaya ya Ulanga limeendelea kujipatia umaarufu mkubwa duniani kutokana na madini adimu ya vito  aina  spineli, hali ambayo sasa inaliweka eneo hilo katika ramani ya utalii wa madini nchini Tanzania. Hayo yalibainishwa  Novemba 10,2025 na Mhandisi Penina Mtego ambaye ni  msimamizi mgodi wa Ruby International  unaosimamia uchimbaji wa madini ya…

Read More

Umejiuliza sababu ya kumpeleka mtoto shule?

Dar wa Salaam. Kila asubuhi, wazazi kote nchini tunahangaika kuhakikisha watoto wetu wanaenda shule.  Wapo wanaoamka alfajiri kuwawahisha watito katika vituo vya daladala au mabasi ya shule, wengine huendesha magari yao binafsi, achana na wale wengi wanaotembea wenyewe kwa miguu kuelekea masomoni. Lakini swali moja la msingi linabaki: Umejiuliza kwa nini unamwamsha mtoto kila siku ili…

Read More