UDSM yakoleza kasi elimu kidijitali
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeanza safari ya kutekeleza mkakati wa kutoa elimu kidijitali kwa kuunganisha kampasi zake zote kwa teknolojia na mawasiliano ili kutoa nafasi kwa shughuli za kitaaluma kufanyika popote. Hatua hii ni utekelezaji wa mpango wa miaka 10 (2022- 2032) wa kukifanya chuo hicho kuwa kampasi janja…