Maaskofu walilia amani inayozingatia haki
Dar es Salaam. Viongozi wa Kanisa Katoliki nchini wametoa wito wa kuendelea kufanywa maombi, kujitathmini kama taifa, na kusisitiza amani itakayozingatia haki, ili kuepuka kujeruhi na kupoteza heshima ya Taifa kutokana na vurugu na machafuko. Msisitizo wa viongozi hao wa kiroho ni kuwepo hali ya kukubali ukweli kwamba zipo sababu za msingi zilizoifikisha hatua hiyo,…