Vipigo KMC vyamliza Saliboko | Mwanaspoti

KMC jana ilipokea kipigo cha tano mfululizo katika Ligi Kuu Bara baada ya kufumuliwa na Yanga mabao 4-1, huku klabu ikiwa mkiani mwa msimamo na mmoja ya nyota wa timu hiyo, Daruwesh Saliboko amekiri vipigo hivyo vinawaumiza na wanajipanga upya. Kikosi hicho cha kocha Marcio Maximo ndio timu iliyofunga mabao machache (mawili) na kufungwa 10…

Read More

NGORONGORO KUIMARISHA HUDUMA ZA UTALII MAPANGO YA AMBONI TANGA.

Na Mwandishi wetu, Amboni-Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro inatarajia kuendelea kuimarisha huduma za utalii katika mapango ya Amboni yaliyopo mkoani Tanga ili yaweze kuvutia watalii wengi kutoka maeneo  mbalimbali duniani. Akizungumza na watumishi wa kituo hicho kaimu Meneja wa Uhusiano kwa umma wa mamlaka hiyo, Afisa Uhifadhi Mkuu Hamis Dambaya amesema kuwa malengo ya…

Read More

WATU 95 KIZIMBANI KWA UHAINI

WATU 95 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo uhaini. Washtakiwa hao wanafanya jumla ya watu waliofikishwa mahakamani hapo kwa siku ya leo ambao wanakabiliwa na kesi za uhaini kuwa 240 ikiwemo Mfanyabiashara Jenifer Jovin ‘Niffer’ Watuhumiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkuu, Hassan Makube ambaye ameahirisha…

Read More

BODI YA WAKURUGENZI “TIL” YAKABIDHIWA MIKOBA RASMI

Na. Edmund Salaho -Arusha Bodi ya Wakurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni Tanzu ya Uwekezaji ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA INVESTMENT LTD – TIL) imezinduliwa rasmi leo Novemba 10, 2025 jijini, Arusha na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini – TANAPA, Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Marwa Waitara. Akizungumza kwa niaba ya Bodi…

Read More

Mahakama yaigomea Jamhuri kusimamisha kesi ya Lissu

Dar es Salaam.  Mahakama Kuu Masjala Ndogo imeyakataa maombi ya Jamhuri kusimamisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu kwa siku 14 kutokana na hofu ya usalama. Mahakama hiyo imeamuru kuendelea na usikilizwaji wa kesi hiyo keshokutwa Jumatano, Novemba 12, 2025, huku ikiitaka Jamhuri kupeleka mashahidi wake. Katika…

Read More