TRA ILALA YAKABIDHI SH. MILIONI 30 KWA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI
:::::::: Dar es Salaam, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kodi Ilala, imekabidhi kiasi cha Sh. Milioni 30 kwa vikundi 15 vya wadau wa biashara kutoka mkoa huo wa kodi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Yusuph Juma Mwenda ya kuviwezesha vikundi vya wajasiriamali aliyotoa Septemba 27,…