‘Wenyeviti wa mitaa walioshinda udiwani kujiuzulu’

Dar es Salaam. Wakati baadhi ya wenyeviti wa Serikali za mitaa wakishinda udiwani kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema inasubiri taarifa rasmi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kubaini walioshinda ili mitaa husika ifanye uchaguzi mdogo. Tamisemi inayosimamia uchaguzi wa…

Read More

Kesi ya Lissu kuendelea kesho baada ya kukwamishwa na uchaguzi

‎‎Dar es Salaam. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu iliyoahirishwa kupisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, itarejea kesho Jumatatu, Novemba 10, 2025. Kesi hiyo inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam na jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Iringa, Dunstan Ndunguru…

Read More

Askofu Shoo: Mamlaka zitafakari vurugu wakati wa uchaguzi, kusikiliza kilio cha wananchi

Hai. Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, amewataka  viongozi wenye mamlaka nchini kutafakari kwa kina kuhusu matukio ya vurugu na machafuko yaliyoripotiwa kutokea  wakati na baada ya uchaguzi mkuu, mwaka huu, akisisitiza haja ya kujenga upya misingi ya amani, umoja na haki katika Taifa. Akizungumza…

Read More

Hesabu kali za Dimitar Pantev Simba

MASTAA wa Simba wapo mapumzikoni baada ya kukamilisha mechi tatu za Ligi Kuu Bara kibabe kwa kuifumua JKT Tanzania kwa mabao 2-1, lakini meneja mkuu wa timu hiyo, Dimitar Pantev hapumziki akiwa ameanza hesabu mpya ili kuwapa raha mashabiki. Simba ilipata ushindi huo…

Read More

Yanga yaishusha Simba, ikiizamisha KMC

YANGA imempiga KMC Kireno kwa kuichapa mabao 4-1 ikiishusha Simba katika  msimamo wa Ligi Kuu Bara angalau kwa wiki kadhaa wakati ligi ikienda mapumziko. Yanga imefikisha pointi 10 baada ya kushinda mechi zake tatu na kutoa sare moja, ikiwarudisha Simba hadia nafasi ya pili ikiwa na pointi tisa, sawa na Pamba Jiji iliyo nafasi ya…

Read More