Wadau wafunguka kauli ya Nchimbi kuhusu maridhiano

Dar es Salaam. Kukiri makosa, kuepuka kunyoosheana vidole, kuponya majeraha na kusitisha kamatakamata ndiyo mambo yaliyopendekezwa na wadau wa kada tofauti, akiwamo Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza. Wadau hao wamesema njia hiyo itasaidia kuwezesha kufanyika kwa maridhiano nchini na kufikiwa mwafaka tarajiwa. Wamesema kwa kufanya hivyo…

Read More

Beki Mtanzania awania tuzo Marekani

BEKI wa Kitanzania, Jackson Kasanzu anayeitumikia Tormenta FC ya Ligi Daraja la Kwanza Marekani ameingia kwenye kitabu cha historia baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora kijana. Beki huyo amekuwa na kiwango kizuri kwenye ligi hiyo maarufu League One akiwa mmoja wa nyota wa kutumainiwa kwenye kikosi hicho. Huu ni msimu wake wa kwanza…

Read More

Gamondi alia na mastraika Singida Black Stars

KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi ameigeukia timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ inayojiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Kuwait huko Cairo Misri, akitoka kulazimishwa sare ya 1-1 na Pamba Jiji, huku akilia na straika kumuangusha kutoka na ushindi CCM Kirumba. Gamondi aliyeteuliwa Taifa Stars kuchukua nafasi ya Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema sare dhidi…

Read More

Atakaye mrithi Majaliwa | Mwananchi

Dar/mikoani. Nani atamrithi Kassim Majaliwa? Hili ni moja ya swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi walio na hamu ya kujua nani atakuwa Waziri Mkuu wa 12. Katiba ya Tanzania, Ibara ya 51(2), inasema mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku 14 baada ya kushika madaraka, Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu…

Read More

Uzalishaji wa pareto waongezeka | Mwananchi

Mbeya. Licha ya uzalishaji wa pareto kuongezeka, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imesema bado mahitaji ya zao hilo ni makubwa huku ikielezea mipango na mikakati ya kuhakikisha wakulima wananufaika nalo. Wilaya ya Mbeya kwa kipindi cha miaka mitatu imeongeza uzalishaji kutoka wastani wa tani 2,200 hadi kufikia 3000, huku bei ikifika Sh3,500 kwa kilo. Akizungumza…

Read More

TFF yasubiriwa kuzirudisha Simba, Yanga Sokoine

BAADA ya kukosa uhondo wa Ligi Kuu Bara, huenda mashabiki wa soka jijini Mbeya wakaanza kushuhudia timu zao Mbeya City, Tanzania Prisons pindi ligi hiyo itakapoendelea baada ya uwanja wa Sokoine kufanyiwa maboresho. Pamoja na uongozi wa uwanja huo kuthibitisha kukamilika maboresho yake, inasubiriwa uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi…

Read More