Minziro afichua kinachoisibu Bigman | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Bigman, Fredy Felix ‘Minziro’, amesema sababu ya kuanza vibaya msimu huu kwa kikosi hicho ni kutokana na maandalizi mabovu ya mwanzoni mwa msimu (pre-season), ingawa viwango vya wachezaji kiujumla vinampa matumaini makubwa. Minziro amezungumza hayo baada ya kikosi hicho kuchapwa mechi tatu mfululizo, ikichapwa bao 1-0, dhidi ya TMA na Kagera Sugar,…

Read More

Mbongo apewa unahodha Morocco | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Jaruph Juma anayekipiga Ain Diab inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka la Ufukweni nchini Morocco amepewa kitambaa cha unahodha kuiongoza timu hiyo. Huu ni msimu wa pili kwa mshambuliaji huyo ambaye pia ni nahodha na kocha wa timu ya taifa ya Soka la Ufukweni (Beach Soccer). Msimu uliopita kwenye mechi 10 alifunga mabao…

Read More

Kocha Hausung apotezea ‘mafaza’ | Mwanaspoti

KOCHA wa Hausung, Hussein Rupia, amesema kukosekana kwa wachezaji wazoefu sio sababu ya mwenendo mbovu wa kikosi hicho hadi sasa, licha ya kukiri jitihada zaidi zinahitajika kuinusuru timu hiyo iliyopanda msimu huu wa Ligi ya Championship. Akizungumza na Mwanaspoti, Rupia aliyeipandisha daraja timu hiyo, amesema ameamua kuendelea kupambana na vijana wenye kiu ya mafanikio hivyo,…

Read More

Chama la Wana lakumbwa na ukata

TIMU ya Stand United ‘Chama la Wana’, imeanza kukabiliwa na ukata mapema tu baada ya baadhi ya wafadhili wa kikosi hicho kudaiwa kujiweka kando kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri tangu msimu uliopita iliposhindwa kupanda Ligi Kuu Bara. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo iliyochapwa mechi tatu mfululizo za Ligi ya Championship msimu huu, zinaeleza…

Read More

Kachwele ataja visiki Ligi Kuu Canada

WINGA wa Whitecaps FC 2 inayoshiriki Ligi ya Canada maarufu MLS Next Pro, Cyprian Kachwele amesema amekutana na mabeki wengi kwenye ligi hiyo, lakini wa timu mbili wamempa ugumu zaidi. Kinda huyo wa timu ya taifa, Taifa Stars, aliyewahi kupita katika timu ya vijana ya Azam FC, huu ni msimu wake wa pili nchini Marekani…

Read More

Wabunge wa CCM kumchagua mgombea kiti cha uspika

Dodoma. Wabunge wateule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili Novemba 9, 2025 wamekutana kwa ajili ya kumchagua mgombea uspika kupitia chama chao. Wabunge wamekutana katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention huku kukionekana kuwa na mchuano mkali kutoka kwa wagombea na wapambe wao walioonekana kujipanga kwenye lango dogo la kuingilia ukumbini hapo. Wanaogombea kwenye nafasi…

Read More

Said Jr anaitaka rekodi Malaysia

MSHAMBULIAJI Said Khamis ‘Said Jr’ anayeitumikia IFC Malaysia amesema anatamani kuandika rekodi akiwa na kikosi hicho kwa kufunga zaidi ya mabao 20. Said Jr alikuwa nje ya uwanja kwa takribani nusu msimu na alijiunga na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Malaysia marufu Liga Super Malaysia akitokea FK Jedinstvo UB ya Serbia aliyoitumikia kwa msimu…

Read More