Mido ala kiapo Songea United, aahidi kufanya makubwa
KIUNGO wa Songea United, Gilbert Boniface, amesema kwa sasa ni wakati wa kuonyesha makali yake ndani ya timu hiyo msimu huu, baada ya kipindi kigumu akiichezea Cosmopolitan iliyoshuka daraja ikitokea Ligi ya Championship hadi First League. Cosmopolitan ilishuka daraja baada ya kupoteza mechi 20 kati ya 30, ikishinda tano na sare tano msimu uliopita, ikimaliza…