Kulandana atoa tahadhari | Mwanaspoti
KIUNGO wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana amesema ongezeko la wachezaji ndani ya kikosi hicho baada ya uongozi kukamilisha usajili kwenye mfumo limeongeza chachu ya ushindani huku akiitahadharisha Pamba Jiji. Fountain Gate imerejea mazoezini Jumatano wiki hii tayari kwa ajili ya kujiweka sawa na mechi zijazo za Ligi Kuu Bara huku ikielezwa kurudi kwao mapema ni…