Vijana wasomi wakumbushwa kuwa na wazalendo

Dodoma. Serikali imewataka wahitimu wa vyuo vikuu kuonyesha mfano wa moyo wa uzalendo katika nchi yao ili wengine waige. Wito huo umetolewa leo Ijumaa Novemba 28, 2025 na Naibu Waziri wa Fedha, Mshamu Munde wakati akihutubia kwenye mahafali ya 39 ya Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini (IRDP). Munde alikwenda kumwakilisha Waziri wa Fedha, Balozi…

Read More

TBN YATOA UFAFANUZI KUHUSU MKUTANO WA IKULU DAR ES SALAAM

Mtandao wa Wanablogu Tanzania (TBN) unapenda kutoa ufafanuzi rasmi na kuweka mambo wazi kufuatia taarifa zisizo sahihi na zinazoleta utata zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mkutano uliofanyika hivi karibuni Ikulu.TBN inakanusha vikali madai yanayosambazwa na baadhi ya watu wanaojiita wanaharakati, wakidai—bila uthibitisho wowote—kuwa wanahabari wa maudhui ya mtandaoni waliitwa Ikulu jijini Dar es Salaam…

Read More

PSG kuiharibia Barcelona kwa Rashford

BARCELONA, HISPANIA: LICHA ya kuonyesha nia ya kuendelea kusalia Barcelona na kusaini mkataba wa kudumu, ripoti zinadai Paris Saint-Germain imeingia kwenye kinyang’anyiro cha kumsajili mshambuliaji Marcus Rashford dirisha lijalo, jambo ambalo linaweza kuharibu mipango huko Catalonia. Rashford ambaye ameonyesha kiwango bora tangu ajiunge na Barcelona dirisha lililopita la majira ya kiangazi kwa mkopo wa msimu…

Read More